Saturday, April 21, 2007

Miss America wa mwaka 1944 afanya tendo la kishujaa mwaka 2007!


Waliomsahau mshindi wa mashindano ya urembo Marekani, Miss America, wa 1944, watamkumbuka na wasiomjua, sasa watamjua.
Bi Venus Ramsey ana miaka 82 sasa. Wakati wa ushindi wake ulikuwa wakati wa vita kuu vya dunia ya pili.

Juzi alivamiwa nyumbani kwake kwenye shamba huko Kentucky. Mwizi alijaribu kuwmibia vifaa vyake vya kulimia shamba. Kwa kutumia 'walker' aliweza kusimama imara na kufyatua risasi na kulipua matairi ya gari ya huyo mwizi.
Kwa habari zaidi ya hiyo tukio someni:


1 comment:

Mikundu Matako Makalio Manundu said...

Blogu yako nzuri tena tamu kweli, yote ni mazuri saaana na inaelimisha sana. Baada ya hayo usisahau au msusahau kumpitia Mzee wa Mikundu kwenye blogu yake mpya:

http://mikundu.blogspot.com/

Just kujiliwaza