Monday, October 29, 2007

Steven Kanumba aja juu katika sinema za Bongo









Is Steven Kanumba the Hardest working actor in Tanzania?

Kwa kweli nampongeza Steven Kanumba kwa sinema zake Tanzania. Nimeona website enye sinema zake kama 10 hivi. Kwa habari zaidi nendeni:

Sijawahi kuona sinema aliyoacti Steven hivyo siwezi ku-comment juu yake. Kama mmewahi kuona hizi sinema karibuni mtoe maoni.
Kusoma mahojiano na Bwana Kanumba someni hapa:

6 comments:

Anonymous said...

Hiyo kampuni inatoa sinema kama za wanigeria. Siyo quality nzuri. Lakini wana moyo na bora tuone hizo kulikoni za kinigeria ambazo hatuelewi wanasema nini.

Laltaika, E. said...

Nimeangalia baadhi ya hizo sinema. Kijana anakipaji cha hali ya juu. Kama ulivyowahi kuandika we wanted good actors but we found the best... Tanzania ina vipaji vingi sana labda kiingereza kikitiliwa maanani tutauza wasanii wa sinema nje ya nchi. Kizungu ni tatizo sana. Wanaotaka kujifunza wawekewe mazingira mazuri ili waweze kuwa na wigo mpana zaidi.

Anonymous said...

Hata mimi sijawahi kuona sinema zake ila nasikia anajitahidi.Niliona interview aliyofanya na jamaa wa bongocelebrity.com.Ametulia kijana na ana mipango mizuri.

Anonymous said...

Wasannii wenye vipaji kama steven wangepigwa msasa accent zao za kiingereza wasije chekesha, pamoja na kwamba wa nigeria wanaongea vibaya lakini kidogo utasikia wanaongea nini, wasanii wakubwa ka blandina, vincent,kanumba mwenyewe na wengine wengi wajifunze sana na sio wafanye mazoezi ya lugha kwa sinema za kinigeria ila watumie sinema za ulaya pia

Anonymous said...

I have watched most of his movies, and I think that he is doing a great job, considering that there is no professional training for actors in Tanzania and that the Tanzanian movie industry is fairly young. The movies are 'truly' Tanzanian!

John Mwaipopo said...

Nimetazama sinema zake kadhaa. Waswahili husema "Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni" This guy gotta great future in the industry.