Friday, November 07, 2008

Mbwa wa Rais Bush amwuma Mwandishi wa Habari

Barney Bush na master wake Rais Bush (Bush anasema kuwa Barney ni mtoto wake wa kiume)
Kadi ya salamu kutoka kwa Barney Bush
Barney akimwuma Jonathan Decker

Mbwa wa rais Bush, Barney, jana alimwuma kwenye kidole, mwandishi wa habari wa Reuters, Jonathan Decker. Decker alitaka ku-pet kichwani ndo Barney kamwuma.
Mimi nashangaa wazungu hapa Marekani. Kila jibwa wanataka kumpeti. Na pia unatakiwa kumpeti mbwa wa watu hata kama hutaki ilikuonyesha urafiki. Kwa kweli hapa Marekani mbwa wengi wamezoea zoea kuwa petted na watu wasiowajua. Kuna madai kuwa mbwa anakuwa na hasira za master wake. Hivi ina maana Rais Bush saa hizi ana hasira kutokana na ushindi wa Obama?
Kuna madai kuwa si mara ya kwanza kwa Barney Bush kumwuma mtu. Amewahi kuuma wageni waliotembelea White House.
Wachekesaji wametoa sababu saba za Barney Bush kumwuma Decker:
1. Barney was tired of all of the bad press
2. Barney was fearful that the reporter was a terrorist
3. Barney was giving the reporter the traditional White House greeting
4. Barney was showing everyone who really runs the Bush household
5. Barney was bored and trying to get Bush to stop watching the Country Channel
6. Barney was trying to do one more thing to make sure no one forgets about Bush
7. Barney was saying "good-bye." Just like Bush, he knows his days are number.

Kwa habari zaidi someni:

2 comments:

Anonymous said...

Barney amekasirika kwa vile anajua itabidi aende kwenye ranch ya Bush na hata kuwa festidogi tena.

Anonymous said...

Kadogo lakini Mbwa mkali huyo!