Monday, November 03, 2008

Bibi yake Obama Amefariki


Bibi yake Senator Barack Obama, mzaa mama yake amefariki dunia, masaa kabla ya waMarekani kuanza kupiga kura katika uchaguzi wa rais 2008. habari zinasema kuwa Bibi Madelyn Dunham (86) amefariki dunia hukoHawaii usiku wa kuamkia leo.

REST IN PEACE MADELYN DUNHAM

Kwa habari zaidi someni:

http://www.cnn.com/2008/POLITICS/11/03/obama.grandma/index.html

2 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Jamani sasa hii nini tena, Lakini pia inawezekana ni baraka. Tumwembee Barack Obama azidi kuwa na NGUVU katika uchaguzi.

Na pia Marehemu astarehe kwa amani.

Anonymous said...

CHEMI,
NENDENI KUPIGA KURA. OBAMA HAWEZI KUSHINDA KWA USHABIKI NA LONGOLONGO KWENYE BLOG!

NYIE WAMAREKANI MKITAKA OBAMA AWE RAIS NI WAJIBU KWENU KUINUKA VITINI NA KUPIGA KURA.

Huku Uingereza sisi huwa tunachagua uongozi wa Labour, na nyie huko US fanyeni kweli Democrats washinde!!! Maneno matupu hayavunji mfupa.

Usije shangaa McCain akishinda, sababu itakuwa kutojitokeza kwa wingi washabiki na wapenzi wa Obama ktk kupiga kura!!!! Ambia ndugu, rafiki jirani waende kupiga kura SASA HIVI. NI MUHIMU sana!

From msomaji wako, UK