Monday, November 03, 2008

Treni Pakistan


Ndio maana ukimwambia mhindi umefika kwao wananyamaza kimya!

3 comments:

Anonymous said...

kweli kabisa
Kenya

Anonymous said...

Reli ya kati ndo inapoelekea, 'unatoa tenda kwa kampuni ambayo kwao mambo ndo kama yanavyoonekana'.
Uma wa Watanzania wavuja jasho mpaka lini tutaendelea kunyanyaswa na viongozi wanaojali zaidi matumbo, kuliko uzalendo?
Asante Julius ulitutoa ujinga, japo viongozi hawakuelimika.

R.I.P J.K.Nyerere.
Mdachi.

Anonymous said...

Hivi wanturingia nini hao wahindi wa Bongo?