Monday, April 20, 2009

Boston Marathon


Wadau, leo wakimbiaji kutoka sehemu mbalimbali wanakimbia katika Boston Marathon. Niko karibu na finish line Copley Square, nitawapa updates!

Of course waKenya watashinda kwa upande wa wanaume kama kawaidia, ila wanasema mwaka huu mwanamke wa kiMarekani atashinda. Tutaona.
Mnaweza kufuatilia wakimbiaji hapa: http://www.bostonmarathon.org/
Update: 11:46am : Watangazaji wanasema MwiEithiopia atashinda kwa upande wanaume, na mzungu Kara Goucher (USA) atashinda kwa akina mama. Tutaona.

1 comment:

Nautiakasi said...

Daah mie nikiingia hapa kwa Da chemi lazima nishike mbavu zangu...! Ama kweli JASIRI HAACHI ASILI! Yaani Da chemi kukaa kote huko marekani, bado unamambo ya kimbeya mbeya hivi, yaani aah una sound kama wale baadhi ya dada zetu wa uswazi wanaokaa barazani jioni wakapeana umbeya!"... Eti of coz wanaume wakenya watashinda, lakini wanawake wa merekani wanasema..." Haa sasa umeulizwa? Dah we ukirudi bongo SHIGONGO lazima atakuajiri kwenye magazeti yake ya UDAKU, yaani utayapaisha ile mbaya! At least ile tabia yakujisifu now days umepunguza! Ulikuwa unasound kana akina MUGISHA, Koku na Bushwaija, wale wenzetu wakule kuleee maarufu kwa kulima ndizi ambako ukiingia nyumba ya kulala wageni (guest house)kitandani lazima ukute mpira umetandikwa (kama ule wanaowekewa watoto vikojozi wasiroeshe godoro kwa mikojo)!