Friday, April 17, 2009

Mamba Mla Watu

Wadau, huko kwenye vijiji mwamboa mwa maziwa na mito mtasikia habari za watu waliopotea na hawakuonekana tena. Huenda hii ni sababu!

ONYO - PICHA ZINATISHA!!!!1 comment:

Anonymous said...

sielewi! hawa wajungu ndio wanafanya kazi hii kisha wanazikula nyama za binaadam naomba ufananuzi zaidi