Tuesday, April 21, 2009

Kumbe hata Wanyama Wanapeana Busu!

6 comments:

Subi said...

Nadhani ni shauri ya kutizama Tv muda mrefu sasa wanaiga tabia za binadamu, wasijeiga na ufisadi na kubeba bunduki, mbona tutatafutana humu duniani? (natania tu wadau).

Anonymous said...

Si wamependana!

Anonymous said...

dada nanii na wewe kukaa sana kwenye box huko hata kiswahili kimekimbilia kwenye box,sio [WANABUSIANA]WANAPEANA BUSU,

Chemi Che-Mponda said...

Mdau wa 11:16, asante kwa sahisho.

Anonymous said...

sahihisho sio sahisho.

Anonymous said...

Chemi ulikuwa sahihi ukiendekeza mwishowe utaambiwa hata jina lako ni Chemu au chem/o na kadhalika. Huyo anony angeeleweka kama angetoa neno moja siyo mawili. Kwanza kupeana busu si sahihi vile vile kama tukitaka kkuweka kiswahili fasaha.