Monday, April 20, 2009

Semina ya Neno la Mungu - Texas

Kutakuwa na semina ya siku moja ya Neno la Mungu. Semina hii itaongozwa na mtumishi wa Mungu Pastor Verno Fernandes,ambae ni mkurugenzi wa Agape Television na mchungaji wa Agape Ministries zenye makao makuu yake Mbezi Beach D.S.M.

Semina hii itafanyika siku ya jumatano tarehe 05.22.09 kuanzia saa moja kamili jioni katika ukumbi wa kanisa la DaySpring Church lililopo katika anuani hii;2505 Texas Drive, Irving Tx 75062.

Mtumishi wa Mungu amejiandaa kuwaombea watu wote wenyeshida mbali mbali. Ninaomba kila atakaesoma tangazo hili amkaribishe mwingine.
Kwa mawasiliano zaidi:Pastor Abisalom Nasuwa 214 554 7381,Pastor Emiliana Ntwina 214 8685151.

Karibuni sana.

1 comment:

MOSONGA RAPHAEL said...

Chemi niko pamoja nawe kimawazo na kimaombi hasa tarehe ya kesho inapokaribia.
Mungu akubariki pamoja na wanao
(yule aliyejiunga college anaendeleaje? vipi kuhusu mdogo wake!)