Thursday, April 30, 2009

Chanzo cha Swine Flu - Utani


13 comments:

candy said...

i saw this picture on bossip.com....
...plain scary

Anonymous said...

Yaani mzazi anakaa anaruhusiwa mtoto wake alambe pua ya nguruwe! Khaa!

Masangu Matondo Nzuzullima said...

Halafu ukiwauliza wakueleze jinsi kirusi cha UKIMWI kilivyofika kwa wanaume ma-gay kule Los Angeles (UKIMWI ulikoanzia) kama kweli kirusi hicho asili yake ni katika nyani wanaopatikana katika mistu ya Kongo, hawakupi jibu. Wazungu wakati mwingine udadisi wao unawafikisha pabaya.

Anonymous said...

My God! My God! An angel must be protecting that child!

Born 2 Suffer said...

Huu si uchafu jamani namna hii mimi kumtazama huyu myama katika picha tu nashindwa, hawa wazungu ndio wanaleta magonjwa mabaya duniani halafu wanasingizia watu wengine, kwa kweli ni wachafu rangi jeupe bure tu.

Anonymous said...

Hii sijawahi kuona "live" ingawa nimeona mara nyingi sana wazungu wanalambana midomo na mbwa zao

John Mwaipopo said...

Kweli wazungu hamnazo!

Anonymous said...

DOH! Hata ukimwogesha mtoto keshalmaba mimate ya nguruwe!

Anonymous said...

Jamani mungu atunusuru.

Anonymous said...

Lakini wadau mmeona jinsi wazungu na nguruwe wanavyofanana? au mimi racist?

Anonymous said...

HALAFU AKITOKA HAPO NA WEWE UNAMBUSU MTOTO WAKO! HII SI UTANI INAONYESHA NDIO CHANZO.
BADO MAFUA YA MBWA, MUNGU NA ATUNUSURU!

Anonymous said...

Nguruwe mwenyewe anafurahia kweli!

Anonymous said...

huo ni utani jamani, nguruwe sio mchezo, huo ulimi ungeshakatwa zamani.