Wednesday, April 08, 2009

YO BRO!!


"This is the most powerful photo in the series. Remember they are not supposed to shake hands, but the two brothers couldn't resist the historic moment. The black royal cop never imagined in his wildest dream that he would usher a black American president into the British corridors of power. Nice."

****************************************************************

Wadau, huko Uingereza ni mwiko kwa hao askari kushikana mikono na watu. Cheki Bobby (askari) anavyoshikana mkono na Rais Obama. Hatujasikia kelele! Lakini Michelle alivyomshika malkia utadhani walitaka kumnyonga! Nafurahi kuona Rais Obama anavunja miiko ya kule. sijui kama huyo Bobby bado ana kazi lakini.

Asante mdau NT wa UK kwa kuniletea hii picha.

W

4 comments:

Anonymous said...

Cheers Chemi - Love the 'YO BRO'!! Cheered me to bits!!

Da N

Anonymous said...

Kweli mabro wamekutana. Picha safi hiyo!

Anonymous said...

Huyo siyo royal cop kwa maana mlinzi wa malikia, ni mlinzi wa Downing Street 10 - makazi na ofisi ya Waziri Mkuu wa Great Britain.


Hype tu ya Americans hawajui hata head of state wa Great Britain ni nani, wanadhani ni Gordon Brown.

Mnaojua Downing Street mnaelewa nasema nini?

Godfather said...

10 Downing St. ni makazi ya Waziri Mkuu wa UK. Hivi tunaweza kusema ni White House wa UK wakati malkia anakaa Buckingham Palace? We mdau wa 11:14am mimi nakaa USA.