Saturday, April 18, 2009

Chemponda Hair Salon - Musoma

Kuna mdau amenitumia hii picha. Hii saluni ya nywele iko kwenye eneo la Baruti huko Musoma. Kwa kweli siwafahamu, na nimewauliza ndugu nyumbani wanasema hawawajui, hivyo ni jina tu wadau. Sio mradi wangu.

Mama Fadhil Cafe na Chemponda Hair Salon, Baruti area, Musoma

2 comments:

kibunango said...

Mbaya zaidi kibanda kina alama ya X ! Hivyo wakati wowote kinaweza kuvunjwa

Anonymous said...

Peleka vijisenti dada ukuze jina lako linanyanyasika