Tuesday, April 21, 2009

Mkutano wa Wake wa Marais wa Afrika Marekani

Dada Subi ana picha kibao kutoka kwenye mkutano wa wake wa marais wa Afrika huko Los Angeles.

Asante sana Da Subi.

***********************************
Her Excellency Chantal Biya of Cameroon

Maskini naona hao wana jet lag!

Queen Inkhosikati LaMbikiza of Swaziland

Kwa picha zaidi mtebelee Da Subi:
http://nukta77.blogspot.com/2009/04/photos-african-first-ladies-health.html

7 comments:

Subi said...

Asante kushukuru!
Aidha ni 'jet lag' (tafsiri rasmi ya KiSwahili siifahamu) ama joto ama walikuwa wakitafakari kwa makini ama waliboreka... nimengi ya kufikiri kuhusu hali hiyo.

Anonymous said...

nisaidieni wajaameni, kama mkutano wenyewe ni wa wake wa marais wa Afrika; sasa kwanini wameenda kukutana marekani? Kwanini siyo Guinea, Lagos, Gaborone, Lusaka n.k?

Anonymous said...

Mnaweka Ma first lady wengine mnashindwa kumnadi Beautifully wetu Mama Salma baby face wetu looh ingia Dada Subi katuangusha

Anonymous said...

Hao wake wanaiga tabia ya wanaume wao. Si tunawaona marais wakilala kwenye mikutano muhimu abroad.

Anonymous said...

Ingia Michuzi Dada Che umwone First Lady wetu alipowakilisha uweke Pic zake sio zao wengine jamani

Anonymous said...

du wake za marais wamedata yaani huyo kama mdoli kwa kujichubua na mwingine boobs nje du noma.

Masalakulangwa said...

anony wa pili,
ndivyo waafrika walivyo. Mafisadi kama waume zao. Wanajidai wanaenda kuongea maswala ya afrika halafu wanafanyia nje ya mazingira ya Afrika. Hawa mashangingi ndio wanawalazimisha waume zao kufanya ufisadi. Huko wameenda shoping tu hawana lolote. Hebu waandishi wa Bongo wambane huyo first lady wetu pale JK airprt kama ataweza kukumbuka kilichoongelewa kule.