Thursday, April 02, 2009

First Lady Michelle Obama Amkumbatia Malkia na Kuzua Mzozo!


Rais Obama na mke wake Michelle wako kwenye ziara rasmi Uingereza. Mke wake alipokutana na malkia walikumbatiana. Kwa watu wasiojua kuna protocol kali kuhusu malkia wa Uingereza. Jinsi ya kumtazama na kusalimiana naye, jinsi ya kuingia na kutoka ndani ya chumba alipo, jinsi ya kumpigia magoti nk.

Leo kuna mzozo kwa vile Michelle alimkumbatia malkia. Heh bwana, watu weusi wamefika! Hebu hao waache mambo ya 'stiff upper lip, blue blood' na sijui upumbavu gani tena. Tumechoka. Malkia ni binadamu kama watu wengine na si mungu.

Kwa habari na maoni zaidi BOFYA HAPA!

Kwa habari zaidi someni:

http://www.google.com/hostednews/ap/article/ALeqM5iU2_BrNBSIf8q7Dpe7TZaCq11qeAD97AFO700

http://www.google.com/hostednews/afp/article/ALeqM5iGG_B2xPr6rzwg9-WKXoPLx6TJOg

7 comments:

Anonymous said...

Malkia anavaa gloves kusudi asigusane na mtu mwingine! Wamweke kwenye glass bubble basi!

Nautiakasi said...

Nawee Da chemi unapenda kuripoti habari kimbea mbea! Hem toa maelezo ya maana sio kama pashkuna flani hivi hueleweki eleweki!

Anonymous said...

HII HAIKUWA SAFARI MAALUM YA KUMTEMBELEA HUYO BIBI, BALI ILIKUWA NI SAFARI YA GET TO KNOW YOU!. WAZUNNGU TALK SHIT ESP FOX CHANNEL YA US. WALIKUWA FREE KWENYE HIYO TRIP NA NDIYO HAWAKUJALI WALICHOKUWA WANAKIFANYA. UN OFFICIAL TRI TO QUEEN. THAT'S IT.

Anonymous said...

Michelle Obama Rocks! You go girl! By the way the Queen is starting to look old.

Anonymous said...

Kuna sehemu nlisoma nikakuta mama mwenyewe ndo alianza kumuwekea mkono Michelle kwa namna ya kumkumabatia na ndipo Michelle alipoleke mkono wake nae amkumbatie, sasa mama mwenyewe ndo hajui au ndo kasahau kama hatakiwi kufanya hivyo? inaonesha nae nae pia anajikanyaga maana dunia nzima inawasifu na kuwausudu Obama na mkewe!! Rock rock Michelle watakoma wazungu miaka hii!!!!!!!!!!!!

chesi said...

...Michelle na Obama watafanya wtu wengi waende against na kanuni zao. Nilimuona Obama akihutubia huku anakunywa maji straight from the bottle wakati maraisi wengine wangependa wawekewe kaglasi kazuri zuri! Nilimuona pia bi mkubwa alivyokumbatiana na wanafunzi wa shule aliyotembelea wakiwemo pia waliokuwa upande wa watazamaji! The Couple are just natural!

Anonymous said...

kamkumbatia au wamekumbatiana? mbona pic inaonyesha vc versa! wazungu choo sana. jamaa wanapendwa duniani kote. wengi walitabiri atauawa kwa vile ni mweusi. kwani siyo mtu...damn shit. obama aliweka mkono wake kwenye bega la brown walipomaliza speech lakini hawajaiona hiyo. lazima wangezoza tu!