Friday, April 10, 2009

DNA Test Bongo - Matokeo Yanatisha!

Jamani, mimi ni mmoja wa wale waliopigania testi ya DNA iwepo Bongo. Nilitaka iwepo kwa sababu akina baba wengi walikuwa wanatupa watoto wakidai si wao. Nilisema kuwa kama testi kama hiyo ingekuwepo ingeondoa hofu. Watu walikuwa wanasema tungoje kuona kama mtoto anafanana na baba yake. Hiyo haitoshi maana mtoto anaweza kufanana na mama yake.

Sasa maabara ya mkemia mkuu Tanzania anasema kuwa karibu asilimia sitini ya sampuli testi zilithibitisha kuwa watoto si wa baba zao! Mmmhh! Kwa kweli hiyo takwimu inatisha na zinasikitisha.

Akina dada wengi hawaelewi biology ya uzazi. Kitu kikuu ni kuwa mbegu inaweza kukaa ukeni siku tatu. Hivyo mtu anadhani akitembea na mtu mwingine siku fulani na mume wake siku nyingine mimba itaiingia ya mume. Ni ushamba.

Pia kuna kesi za mapacha ambazo wamegundua kila pacha ana baba yake! Mnafanya mchezo na shahawa! Hata jamaa akimwaga nje mimba unaweza kupata! Mbegu zinakimbia!


********************************************************

DNA proof: 60pc of male parents not biological fathers


By Austin Beyadi


The Government Chemist Laboratory Agency has said that among the 250 deoxyribonucleic acid (DNA) samples it received for disputed parentage cases in the year 2005/2006, at least 60 per cent of the cases proved that the male parents were not the biological fathers of the children.

Speaking in Dar es Salaam on Friday, the Chief Government Chemist, Ernest Mashimba, said that the agency receives samples from the department of Social Welfare and registered lawyers and not from individuals.

He said that in 2005/6 it received 250 cases for DNA testing on parentage dispute whereby 150 fathers were proved to be only custodians and not biological fathers.

Only 100 fathers were proved to have biological linkage with the children.

Mashimba said in 2006/07 the agency received another 209 samples for DNA testing on disputed parentage cases. The result were that 53 per cent were biological fathers against 47 per cent, who were not.

``We also use DNA samples in criminal investigations, identification of victims of mass disasters, verifying the identity of human disorders, determining whether a biological material is of human origin, etc ,`` he said.

He said in criminal cases the agency received 28 samples in 2006/7 and that among them 21 percent of the samples involved the suspects with the incidents while 79 percent were not involved with the case.

He further said that during the same period, the agency also received 31 samples of rape cases and that after conducting the DNA test it was discovered that only 3 per cent of the samples were involved with the cases while 97 per cent were not involved with the criminal offences.

He said that every person is genetically unique and genetic compositions do not change through life.

Expounding, he said an individual inherits genetic compositions from both parents.

Mashimba said that in rape cases, semen samples can be used to link the suspect to the samples provided.

He said that in essence, DNA evidence is in principal becoming an irrefutable identification proof and it is useful for excluding the innocent from the case in question.


SOURCE: Guardian

11 comments:

Fadhy Mtanga said...

Da Chemi hiyo mbona ni noma balaa. Hebu fikiria umri huo unagundua mdingi si wako.
Lakini bora udanganyifu na uzembe upungue.

Anonymous said...

HII ASILIMIA 6O NI YA WALE WALIOPIMA HIVYO MSIGENERALIZE KUWA NI ASILIMIA YA WANAWAKE WOTE WA BONGO.
MTIHANI MKUBWA NI JE NYIE WANAUME MKO TAYARI KUKAA NA MWANAMKE AMBAYE ANA MTOTO NJE YA NDOA? NIJUAVYO MIMI WANAWAKE WENGI WANABAKI KWENYE NDOA ZAO NA KUSAMEHE WAUME ZAO WENYE WATOTO NJE YA NDOA! USHAHIDI UPO MWINGI! HAPO SASA KAZI KWENU!!

Anonymous said...

Hivi jamani mnaijua Tanzania? hakuna kitu hapo!yaani hata hivyo vyombo vya kupimia labda havifanyi kazi wao wanajifanyiafanyia tu ilimradi wawe na matokeo!

hata katika kupima Ngoma watu wengine wanawaambia wana ngoma kumbe hawana, wengine wanawaambia ngoma hamna kumbe ipo.

Eti asilimia 60, wavitumbukize vyombo vyao mahali panapotakiwa, yaani jalalani.

Anonymous said...

I KNEW IT! YALE MASHAKA NILIYOKUWA NAYO YAMEPATIWA JIBU. BAMBINO WANGU WAWILI WAMEKUWA WANANITIA WASIWASI SANA. WAJIHI WANGU NI WA KIBANTU LAKINI WATOTO WETU, WANAONEKANA KAMA KUNA UCHOTARA NDANI YAKE. WAKATI UMEFIKA SASA WAKWENDA KUPIMA KABLA YA KUANZISHA VURUGU NDANI YA NYUMBA.

THIS IS NOT FAIR.

Anonymous said...

He he he....bambino wako wala usiwatimue. Kumbuka waswahili walisema 'kitanda hakizai haramu'.

Anonymous said...

Ukeni ni wapi?

Anonymous said...

samahani hivi ni wewe chemi ulipigania DNA testing iwe introduced Bongo.Dada wewe kwa kujisifia sikuwezi aku unakera.Acha kutukana mama zako aliyekwambia mwanamke hajua biology ya uzazi ni nani.Sasa unafikiri wanabambikia vipi watoto.kalagabao watu wanakulia timing .ebooo

Anonymous said...

Wewe anony wa 5:19am unaonyesha wazi jinsi wabongo wasivyo na shukurani wala kumbukumbu. Da Chemi alifanya mengi katika masuala ya kugombea haki za akina mama. Kumbuka alivyoanza kazi waandishi wa habari wa kike walikuwa wachache mno. Pia alikuwa moja wa waanzilishia wa TAMWA. Alivumilia mengi pia. Nakumbuka sana na namshukuru.

TT - Montreal

Mimi wa sweden said...

we tt untue hila kama mchuzi wa bamia.hapa siongelei mambo ya haki ya akina mama wala tamwa ,naongelea Dna .hiyo DNA yenyewe ndo inawapa kashfa sasa ,sababu wadandia daladala kwa mbelekama wewe wanageneralise na kusema wanawake woote ni mafisadi wa mapenzi au cheaters.Sasa swali nililomuulize chemi maana sijawahi sikia kwamba ni yeye ndo aliyepigania Dna testing ifanywe tanzania,nimemuuliza swali ,sababu huyu dada anapenda majisifa ,na habari ndo hiyo.Eti shukurani loooo mshukuru Muumba wako wewe.We wamtegemea mwanadamu utajiju.

Anonymous said...

DNA inanasa walipata mimba tuu, tunataka na LIE DETECTOR ili wasiopata mimba pamoja na wanaume wadakwe nao.

Ukitia mashaka tuu mnaenda kwenye POLYGRAPH.

Anonymous said...

DNA TESTS ARE NOT 100% CORRECT...Popular belief is that DNA testing is 100% accurate. Whether used to determine the father of a child or pinpoint an individual who committed a crime, the results of DNA testing are widely considered infallible. I'll tell you the truth. The accuracy of a DNA test depends greatly on how the samples are collected, how they are tested, and how they are reported. The results of a DNA test are sometimes misleading or wrong.

For the purposes of this article, I will stick to a standard DNA paternity test rather than expanding on forensic DNA testing. The first requirement of an accurate DNA test is proper collection of the samples. DNA can be collected from blood, skin cells, saliva, semen, and a number of other sources. The key to the DNA collections is contamination. When I say contamination I mean that the person collecting the sample accidentally includes a sample of their DNA in addition to the intended person being collected. This is called a mixture. DNA mixtures make it very difficult for a lab to differentiate between the two samples. Another issue that could go wrong with the collection is that the DNA sample is collected from the wrong individual.

The second aspect of an accurate DNA test is how the test is completed. DNA tests are completed by comparing the genetic code at a number of different loci. The more loci that are compared, the more accurate the test will be. The gold standard in today's DNA testing laboratories is 16 genetic markers. When the laboratory gets inconclusive results after testing 16 markers they can run additional testing on more genetic loci. When 3 or more loci do not match between two individuals it means they are not biologically related. Some DNA laboratories test between 6 and 10 genetic loci. This can lead to false positives. A false positive happens when a potential father matches at 6 loci, so the laboratory reports that he is the biological father when in fact he is not.

When a DNA laboratory uses proper collection and testing procedures the probability of wrong test results are very low. Only identical twins share the exact same DNA. This means that if both twins are tested against a child, if one is the father then the results of both tests will be positive. In situations where siblings are both potential fathers the laboratory should recommend testing both siblings.

To conclude, there are two possible scenarios in a DNA paternity test. First, if the potential father is not the father, then the probability of paternity is 0%. There is a 100% chance that the man is not the father. If the father cannot be excluded as the father, then the probability of paternity is 99.99% or greater. There is never a 100% probability of paternity, because DNA testing is based on statistics.

Ryan Quintal is the Director of Boston Paternity, a DNA testing company that helps individuals and families gain proof of relationships for a variety of reasons. Boston Paternity specializes in Immigration DNA Testing, Paternity Testing, and Infidelity DNA Testing. Boston Paternity sets itself apart from the competition by providing the fastest DNA testing services in the industry at affordable prices. For more information about DNA Testing visit our website at http://www.BostonPaternity.com