Thursday, May 28, 2009

Anatafutwa na Ndugu Zake - Yustace K. Kakala

Wadau, ndugu wa Yusace K. Kakala wanamtafauta, wanasema hawajawa na mawasiliano naye zaidi ya miaka 15. Habari walizopata m,ara la mwisho, alikuwa Kuala Lumpur, Malaysia. Wenye habari tafadhali wasiliana na ndugu zake kupitia barua pepe.

**********************************************
Details za huyu ndugu yetu ni kama ifuatavyo:

1. JINA LAKE: YUSTACE K. KAKALA (EUSTACE K. KAKALA)

2. EDUCATION BACKGROUND:

· CIVIL ENGINEER FROM BANGALORE UNIVERSITY, BANGALORE, INDIA. FROM 1986 TO 1990
· SECONDARY EDUCATION KIBAHA 1977 TO 1980,
· ALAFI CHUO CHA MAJI, DAR KABLA YA KWENDA INDIA

3. PEOPLE TO CONTACT AKIPATIKANA

· INNOCENT LUGUMAMU, e-mail: http://us.mc01g.mail.yahoo.com/mc/compose?to=ilugumamu@hotmail.com
· MUSHUBILA KAMUHABWA, e-mail: http://us.mc01g.mail.yahoo.com/mc/compose?to=shubila2002@yahoo.com
· MAGE KAKALA 255-752-797181 OR 255-786-633584
· GREGORY KAMALA AT 255-753-958393
· JULIANA KAKALA AT 255-787-43002

NAOMBA KUTANGULIZA SHUKURANI ZETU.
Innocent E. Lugumamu

3 comments:

Anonymous said...

mhh! majina ya kizalendo hayo!!!!!

Anonymous said...

Halafu mnasema turudi Tanzania. Hell nO!

Anonymous said...

Jamani mnapotafuta ndugu zenu toeni picha kwani jina pekee sio utambulisho wa mtu!

Watu wanabadilisha majina kama 'shati'.- you know what I mean

Leo unaweza kuitwa fulani kesho ukawa 'mtu mwengine'.

Hivyo, kwa kuwasaidia zaidi labda picha ingesaidia.