Monday, May 04, 2009

Tanzia - Margareth Nemhina Kumbuka

NASIKITIKA KUTANGAZA HABARI YA MSIBA WA MAMA MKWE WANGU MRS MARGARETH NEMHINA KUMBUKA ALIYEFARIKI HUKO BALTIMORE, MARYLAND, UNITED STATES.

MAANDALIZI YA KUPELEKA MWILI WA MAREHEMU TANZANIA KWA MAZISHI YANAFANYIKA. MSIBA UPO NYUMBANI KWA MWANAE WA KIKE MAHADIA KUMBUKA HUKO BALTIMORE.

FOR INFO
TEL:443-824-4228

MAREHEMU ALIKUWA MKAZI WA LONDON UK NA ALIKUWA NI MWALIMU KATIKA UNIVERSITY OF LONDON. MSIBA PIA UTAKUWA NYUMBANI KWAKE LONDON 59 YORK WAY,
WHETSTONE,
LONDON,
N20 0DF

FOR INFO TEL:
+447788878333
OR
07951503042

BWANA ALITOA, BWANA AMETWAA. JINA LAKE LIHIMIDIWE - AMEN

ACHU MCHUJUKO

*************************************************

Pole sana mdogo wangu Mahadia. Mungu ailaze roho yake mama yetu mahala pema mbinguni. Amen.

No comments: