Saturday, May 30, 2009

Zilipendwa - Hooray Hooray na Boney M

Wadau enzi zile Boney M na ABBA walivuma sana. Nyimbo zilikuwa rahisi kuimba.


3 comments:

Anonymous said...

umetukumbusha mbali sana. wanamuziki wa enzi zile walikuwa wakijiheshimu sana. hukuwa ukiona wakiimba na vichupi au nguo za nyuzi nyuzi kama sasa. wala waimbaji wa kiume hawakuwa na matatoo au kusuka nywele kama ilivyo sasa. muziki ulikuwa ni kuelimisha jamii sio sasa kupotosha jamii.

Anonymous said...

RTD walipiga sana nyimbo za Boney M. Yaani tulikuwa tunaimba kweli sijui hata kama tulikuwa tuna tamka sawa. Haidi haidi ho!

Anonymous said...

Long live Chemi Che Mponda or better still mama Camara. Hizi album mpaka nitakapo kufa nitaomba wanizike nazo who knows labda huko niendako naweza kupata nafasi ya kuendelea kuzisikiliza. Lakini chemi umetuambia boney m na abba halafu ukaweka boney m pekee.