Monday, May 04, 2009

Wanawake Wa White House

Hebu cheki wanwake wa White House : Mke wa Rais Obama, Michelle, Mama yake mzazi, pamoja na watoto wa rais, Sasha na Malia. MaKKK lazima wanalia!

7 comments:

Anonymous said...

Dada CHEMI ,

How do you define Mwanamke ? How can you categorize those kids as wanawake....

Anonymous said...

chemi acha kuwasifu sana hao kina obama family kuna siku nao wataondoka hapo nyumba nyeupe kama wenzao na kuingia wengine. is a matter of time!!!

Anonymous said...

Hao ni watoto wa kike hivyo ni sawa kuwaweka katika group ya wanawake.

MOSONGA RAPHAEL said...

nimegundua (kwa maoni yangu)kama mtu hajui historia ya mtu mweusi kule marekani (kuhusu ubaguzi na mateso ya utumwa), hawezi kuelewa ni kwanini watu weusi wanafurahia sana kina Obama kuwa ikulu!

Anonymous said...

kuwaita watoto wa obama wanawake ni sahihi. mwanamke sio lazima awe mtu mzima ni jinsia hata kama kazaliwa leo kama ana jinsia ya kike ni mwanamke. hicho ndio kiswahili safi. ile kuwaita wasichana ni lugha za mitaani sio lugha safi.

Anonymous said...

Hiyo familia inajua kucheka sana

Anonymous said...

Chemi Kitu nilichogundua, mara nyingi maandishi yako unakurupuka sana kuandika. sijui umeanza kusahau kiswahili??