Friday, May 22, 2009

Rais Kikwete Atembelea White House


President Barack Obama meets with Tanzania President Jakaya Kikwete in the Oval Office Thursday, May 21, 2009. This was the President's first meeting with an African Head of State. A bust of Martin Luther King is at far left. (Official White House photo by Pete Souza)

3 comments:

elipokea said...

Tanzania ina madini ya Uranium, ina uhusiano mzuri na Iran toka enzi. Uelekeo wa Marekani East Africa unabadilika toka kuwa mshirika mzuri wa Museveni Uganda sasa tunaona wanaelekea Tanzania kwa kasi, je kuna mgongano hapo? Kuna maslahi Marekani inatafuta au kuwekeza Tanzania? au muda si mrefu na sisi tutaanza kuwa wababe wa vita kama Museveni?

Anonymous said...

http://www.nytimes.com/2009/05/24/health/24birth.html?_r=1&ref=todayspaper

Anonymous said...

Kuna kiongozi mmoja wa marekani alisema "Marekani haina rafiki wala adui wa kudumu. Inachojali ni masilahi yake"

So, they are after our resources, nothing less!