Monday, May 18, 2009

Kaka Michuzi Yu Salama USA!

Wadau, kwa kweli tumshukuru Mungu kwa mkono wake uliosaidia ndege ya KLM aliyokuwa anasafiria Kaka Michuzi na wengine kutua salama Amsterdam Schipol. Ndege ilikuwa ikitoka Schipol kwenda San Francisco direct, kwa hiyo lazima ilimwaga mafuta mengi kweli.


Kaka Michuzi alipiga hii picha akiwa ameshika roho mkononi. Ndege ina mwaga mafuta kusudi iweze kutua salama kwenye Emergency landing. Habari alizonitumia ni kuwa yuko salama na kwa sasa yuko San Francisco, California.

Mnaweza kupata picha na maelezo zaidi hapa:

http://issamichuzi.blogspot.com/2009/05/vekesheni.html#comments

4 comments:

Anonymous said...

Yaani tungemkosa Michuzi hivi hivi! Asante kwa taarifa Da Chemi.

Anonymous said...

Daaah! Tungesikia mengine. Mungu yu mema.

Anonymous said...

Hiyo ndiyo Tanzania bwana, unajua rais Kikwete alikuwa kwenye hiyo ndege na watu wamenyamaza kimya?

Imagine, President anapata scare watu wanaminya kimyaaa!!!! Anyway, muhimu hakumwibia mtu kitu na yuko salama.

Anonymous said...

Rais Kikwete alikuwemo kwenye hiyo ndege. Mbona hamsemi?