Monday, March 28, 2011

Color Me Blue No More - Be a Backer


Wadau,


Hii ni nafasi yako kuingia katika historia. Hii sinema, 'Color Me Blue No More' inahitaji wafadhili. Unaweza kuahidi kiasi chochote kuanzia dola $5. Hii sinema itakuwa nzuri kuliko Precious ikifanikiwa kutengenezwa. Watu weusi tusaidiane. Hii siyo zile sinema zinazofanya weusi waonekane wajinga, bali itakuwa ni sinema inayoonyesha kuwa watu weusi pamoja na matatizo yanayaowakumba wana nguvu za kushinda katika maisha na kuwa na maisha mazuri.


Bofya HAPA ukitaka kuchanga:********************************

With so little time remaining to reach our goal, we literally need donations to pour in. Please donate. Then spread the word to everyone you know. This film will touch the lives of so many people. It's an inspiring, uplifting story. We are soooo ready to roll the camera and get this film made so that the multitude of hurting people can see that they're not alone; that they, like little Shelley, can be liberated from their past. Help me get this movie made. Donate today! Spread the word! -


Sincerely,


Perla Faye Humphrey, Director

No comments: