Saturday, March 05, 2011

Idi Amin Alitabiri Marekani Itakuwa na Rais MweusiDoh! Kumbe Idi Amin alitabiri Marekani itakuwa na rais mwuesi. Jamaa alikuwa haogopi kusema wazungu!

7 comments:

SIMON KITURURU said...

Mmmh!

John Mwaipopo said...

hili jamaa bwana basi tu lilipakwa sana matope alafu lilichokozwa sana lakini lilikuwa lina akili. hata kama hakuwa jiniasi lakini yote aliyozushiwa kuyafanya na kuyatenda alichafuliwa kwa makusudi tu na watu fulani fulani.
kwa lugha nyingine hakuwa rais mramba viatu vya wakubwa kama maraisi wa sasa kibao wa afrika.

Mbele said...

Hiyo kali. Nimeikubali :-)

Anonymous said...

Duh! Kumbe jamaa alikuwa na akili sema kwa vile hakusoma watu walimdharau.

Anonymous said...

The real idd amin dada,...

Anonymous said...

that was not a prediction.. it was a wish from his side... I wish that a black man will become the president of China is a good example of my wishes

Anonymous said...

I'm sorry. Lakini sijaona akili ya kuwa admired hapo. We all have dreams and wishes, but that does not make each one of us geniuses. Akili za kudai kwamba yeye ni most powerful leader in the world? There is a word for that: delusion. He may have been fearless. I'm no fan of most of the leaders we have in Africa. Many of them, even in their madness and bootlicking buffoonery, are better than that decorated empty vessel, Amin, and his highly sounding hot air.