Monday, March 28, 2011

Msiba - Arafa Hamisi BillalMSIBA TANZANIA


Arafa Hamisi Billal 1962- 2011


Jumuiya ya Watanzania Italy kwa masikitikiko makubwa imepokea taarifa za msiba wa Shangazi yake Dada Sophia ambaye anaishi Castel Volturno CE -Italia. Marehemu ARAFA HAMISI BILAL (pichani) amefariki siku ya jumapili nchini India ambako alikuwa huko kwa matibabu.


Mipango ya mazishi inafanywa. Mazishi yatafanyika siku ya jumatano kwenye makaburi ya kisutu jijini Dar Es Salaam. Uongozi wa Jumuiya ya Watanzania Italia kwa niaba ya Watanzania wote waishio Italia inaungana na wazazi,ndugu,jamaa na wafanyakazi wa Uwanja wa ndege wa kimataiafa wa MWALIMU NYERERE ambako marehemu alikuwa akifanya kazi,katika kuomboleza na kuwaombea MwenyeziMungu awape uvumilivu katika kipindi hiki kigumu cha msiba.


Kwa habari zaidi BOFYA HAPA:

No comments: