Tuesday, March 22, 2011

The Legacy of Julius Nyerere - Sinema FupiThis is Part One

The Honourable Abdulrahman Kinana, former speaker of the East African Legislative Assembly and Tanzanian minister, has produced a short film entitled ‘The Legacy of Julius Nyerere’ which recently made its North American premiere at the Institute of African Studies’ March 2011 conference held at Carleton University in Ottawa.

4 comments:

joji said...

Filamu yaliyomo yake labda si mabaya, nakubali.
Lakini nasikitika sana. Nilidhani mwalimu wakati wa uhai wake hasa alitumia Kiswahili. Kwenye filamu Kiingereza kitupu.

Anonymous said...

Uwongo mbaya. Mwalimu alikuwa anaongea Queen's English lakini alikuwa hataki Mbongo mwingine aongee! Eti Kiswahili tupu kila mahala ndo maana kwa lugha ya Kiingereza Tanzania tumezorota ukilinganisha na Kenye na Uganda.

Anonymous said...

chemi tafadhali usituwee hizi, ile "trauma" ya maisha magumu na yenye dhiki sugu inarudi kichwani mwangu. Sitaki kukumbuka kwamba niliogea sabuni punda, nilifulia arita/harita, nilipiga mswaki kwa mkaa, nilikunywa uji wa chumvi kwa kuwa madukani hakukuwa na sukari, na ilikuwa nikitaka kununua kilo moja ya sukari basi ni lazima ninunue na kilo moja ya unga wa muhogo, alikataza TV kwamba eti haina umuhimu n.k .... Kwa ufupi sitaki kumkumbuka kabisa huyu mtu.

Chemi Che-Mponda said...

anony wa 11:31PM, umenikumbusha na mimi. Itabidi niandike jinsi tulivyopelekwa kijijini Tabora kwa shangazi kusudi tusife njaa. Kipindi kile wizi ililikuwa ya vyakula! Wakisikia una unga, mchele ndani wezi wana vunja nyumba. Ukienda sokoni wanaweka kijiko cha mchele kwenye meza halafu inabidi uende uwani kununua kwa bei ya "Kulangua". Unakumbuka WALANGUZI? Niendelee? Dawa ya Mswaki, ilikuwa mu akiwa na zaidi ya moja pale Dar Airport ananyanganywa! Mafuta ya kupikia, una bahati ukipata mawese! Miezi 18 ya shida karibu igeuke miaka 18 ya shida. Mwinyi alituokoa.