Tuesday, March 22, 2011

Msiba Minnesota - Shadrack Balira

(Pichani Marehemu Shadrack Balira)

Familia ya Meshack Balira iliyoko New Hope Minnesota, Inasikitika Kutangaza kifo cha ndugu yao Shadrack Balira, Kilichotokea ghafla (3/20/2011) Bloomington Minnesota.
Maandalizi ya kuusafirisha mwili kwenda Bukoba Tanzania tarehe 3/28/2011 bado yanaendelea.
Kama sehemu ya maandalizi ya kusafarisha mwili wa marehemu tunategemea kuwa na harambe siku ya Ijumaa tarehe 3/25/2011. Tutawajulisha mahali pa kufanyia hiyo harambe kabla ya Ijumaa. Gharama ya kutunza mwili, kuusafirisha na pamoja na wasindikizaji itagharimu dola za kimarekani elfu ishirini ($20,000)

Kwa wale ambao hawataweza kufika unaweza kutuma rambirambi yako kwenye account hii

Meshack Balira
TCF Bank
Route# 599913501
Account # 3862282359

Kila siku tutakuwa tunakusanyika nyumbani kwa Meshack kuanzia saa 1 jioni,
Anwani ni:

4701 Decatur Ave North
New Hope, MN 55428

Tutaendelea kuwataarifu kuhusu mipango ya maandalizi kwa ujumla.

Kwa maelezo zaidi unaweza kuwasiliana na watu wafuatao:

Patrick Vedasto - 763-458-0353
Josiah Kibira - 763-229-2495
Joel Mburu - 952-217-0264
Charles Semakula - 952-465-1130
Mchungaji: Andrea Mwalilino – 952-201-5054

No comments: