Saturday, March 12, 2011

Blogu Mpya - Tembea Tanzania

Kuna Blogu mpya kuhusu sekta ya Utalii Tanzania inaitwa:

TEMBEA TANZANIA.

**************************************************

Naomba kuchukua fursa hii kuitambulisha kwako Blog ya Tembea Tanzania
(http://tembeatz.blogspot.com/) Blog ya Kitanzania yenye kubeba habari mbali
mbali zinazohusu sekta ya Utalii ya hapa Nyumbani Tanzania.

Shukran na karibuni nyote

KK

2 comments:

Mbele said...

Nimekuwa nikiitembelea blogu hii mara kadhaa. Inaleta picha za maeneo mengi ya Tanzania ambayo wengi wetu hatujawahi kuyaona na huenda tusipate fursa ya kuyaona. Ni kivutio kikubwa.

John Mwaipopo said...

kimsingi blogu ipo kitambo sana ila ni miongoni mwa zile low-profile blogs. kiukweli inajitahidi sana kuitangaza nchi yetu katika uwanda wa utalii. ndugu yetu anafanya vema na anastahili kuungwa mkono.

ila ningemshauri pengine ajikite kwenye umombo zaidi maana wanaoelewa umbombo ndio mifuko yao imesheheni hela za kutalii. ushauri tu.