Wednesday, March 16, 2011

Nyoka Auma Titi la Supamodo...Afa Dunia!

Wadau hebu cheki jinsi huyo supamodo wa Israel, Orit Fox, anayojaribu kulamba na kubusu nyoka! Kwanza anajifanya kama anataka kufanya mapenzi na huyo nyoka aina ya boa (kama chatu). Nyoka anachukia anamwuma kwenye titi. Kumbe titi ni zile puto zilizojaa silicone. Siku hizi ni fesheni kwa wazungu na hata weusi wenye matiti madogo kwenda kwa daktari ili wawekewe hizo puto matiti yao yawe makubwa zaidi. Nasikia zinauma. Wanasema hiyo silicone ilimwua nyoka baadaye! BORA! Bi Fox ni mzima ila inabidi abadilishwe puto kwenye titi.Kwa habari zaidi someni:

http://www.hindustantimes.com/Snake-bites-model-s-breasts-dies/Article1-673607.aspx#

4 comments:

SIMON KITURURU said...

Ila siku hizi na makemikali yalivyojaa kwenye vyakula vya binadamu walavyo ,...
.... nahisi ni viumbe wengi tu wanakufa wakiuma binadamu ambao ni mikemikali tu imewajaa ila LABDA hatustukii tu !:-(

emu-three said...

Ajali kazini!

Anonymous said...

we unalete umalaya wako kwenye nyoka ona sasa nyoka anapenda sana matiti ungemuonyesha sehemu nyingine ndo ungekoma anapenda sana

Anonymous said...

CHEMI HAPA ALIYEKUFA NANI? NYOKA AU MREMBO? INAONEKANA WACHANGIAJI WENGINE HAWAJAELEWA. WANADHANI ALIYEKUFA NI MREMBO.

NI VYEMA UKATOA UFAFANUZI...