Thursday, May 02, 2013

Dawa ya Mbu - Ndimu na Karafuu!


Wadau, kumbe ndimu na karafuu ni dawa ya mbu!  Hebu mjaribu muone kama mbu wanapungua!

1 comment:

emu-three said...

Unaweka kama kwenye picha au unasaga mafuta yake?