Saturday, May 04, 2013

Kiongozi wa Vijana Zimbabwe Yuko Jela Kwa Kutukana Rais Mugabe


Kiongozi wa Vijana Zimbabwe Solomon Madzore (mwenye kofia)

Wadau, nakumbuka tulikuwa kwenye halaiki na vijana wa shule mbalimbali za Tabora nilipokuwa Form 5. Kijana fulani wa Tabora Boys aliuliza kwa sauti eti kwa nini tunapoteza muda kuwa pale kwenye mambo ya kijinga. Doh! Kijana wa watu alipigwa mbele yetu na afande fulani.  Sitasahau!  Enzi zile za Chama Kimoja, Chama Kimeshika Hatamu nk.  Huyo Kiongozi wa vijana wa Zimbabwe, Charles Madzore, si mara yake ya kwanza kufungwa kwa kumsema Rais Mugabe. Safari hii kamwaita "punda zee"
.

**********************************

HARARE, Zimbabwe (AP) - A lawyer for a youth leader in the Zimbabwe prime minister's party says he is in jail for referring to the nation's longtime ruler as "a limping donkey" at an election campaign rally.

   Attorney Charles Kwaramba said Friday the youth wing head  is charged with  insulting President Robert Mugabe, 89, under sweeping security laws.

   In the local Shona language the phrase "dhongi rinokamina" is used to depict a lame draught animal that is no longer of any use and must be put out to pasture.

   Youth leader Solomon Madzore faces a penalty of a fine or several months of imprisonment.

   Legal charges for insulting Mugabe are common in Zimbabwe.

   The prime minister's party says the arrest is to stifle its campaigning for younger voters in elections scheduled this year.


Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe

1 comment:

Anonymous said...

BADO MRS MALI LINDA KUWEKWA NDANI MAANA KTK FACEBOOK YAKE ANAMTUKANA RAISI NA CCM BILA SABABU