Monday, May 27, 2013

Umahiri Wetu wa Lugha Unadidimia!

Na Freddy Macha

Umahiri wetu wa lugha umeanza kudidimia.

Si tu lugha za kikabila, pia Kiswahili na Kiingereza. Njia moja ya kujiendeleza ni kusoma na kusikiliza mashairi na fasihi...http://www.freddymacha.com

No comments: