Wednesday, May 15, 2013

Uke Yapotea Baada Ya Kufanya Mapenzi na Mwanaume Aliyeoa KenyaDuh! Hii kali, huyo mganga wa kienyeji Kenya ana dawa kali sana.

Kuna dada fulani kutoka Ukambani, Kenya mwenye miaka 29. Alikuwa na mazoea ya kutembea na wanaume wa watu. Mke wa jamaa fulani kamwonya huyo dada kuwa ataathirika vibaya akiendelea kutmbea na mume wake.  Yule dada hakusikia na badala yake kaendelea kutembea na jamaa. Basi wiki hii baada ya kufanya kitendo na yule jamaa aliamka kwenda kukojoa (haja ndogo)....Akakuta uke/kuma yakeimezibwa kabisa!   Baada ya yule dada kuomba msamaha kwa yule mama, waliondoa ile dawa. 

Hii dawa inafaa sana!  Mganga huyo atatajirika!

Kwa habari kamili BOFYA HAPA:

6 comments:

emu-three said...

Duuh, kweli hiyo dawa kiboko,hapa najiuliza kwanini wataalamu wenye vitu kama hivyo hawapendi kuviweka wazi, hata wakapata hati miliki

Anonymous said...

ujinga wa mwafrika,ujinga mtupu story za kufikirika tusipoteze muda kuzikuza wote tutaishia ujinga kwa nini upoteze muda kufanya mazingaombwe badala ungetumia akili hiyo kwa kuvumbua ndege za kuruka angani? waafrica tutaendelea kweli?

Andy said...

Naona hii bs inaweza kutuchekesha mno, lakini kwa ajili ya usawa wa wanawake duniani lazima tujiulize kwa nini yule dada alitiwa adhabu badala ya wapenzi wake. Dawa kwa mwanamume haiko? Uzinzi ni tatizo kike tu? Kuna shida hii hapo Marekani kabisa - waseme 'slut' kwa wanawake bila neno kali sawa kwa wanamume.

Anonymous said...

I got the gist~ though it seems too far-fetched to be true :~)

Anonymous said...

I got the gist~ though it seems too far-fetched to be true :~)