Sunday, May 05, 2013

Kanisa Katoliki Lalipuliwa na Bomu Arusha Wakati wa Ibada!

 Hivi Tanzania kuna nini siku hizi? Mapadri wanauawa, kanisa zinachomwa moto na sasa kulipuliwa na mabomu!  Tunalilia nchi yetu!  Shaidi anasema kuwa wakati wa Misa maalum ya kubariki kanisa jipya mwanaume fulani alitokea na kurusha bomu ya petroli.  Baada ya kuirusha alikimbia nje ya kanisa na kuingia ndani ya gari na kuondoka. Misa ilikuwa inafanyika mbele ya kanisa.

KWA KIFUPI:

Mkuu wa Mkoa Mulongo nae yumo kwenye hili sakata. RPC Anatoa hotuba.

Anasema ni tukio la kighaidi.

Anasema alihusika alijitokeza nyuma ya jengo kwa kujificha na kurusha bomu.

Anasema wanawasaka waliohusika. Anomba mwenye taarifa yo yote aisaide polisi.

Waliojeruhiwa ni 30 majeraha ya kawaida, na 3 wamejeruhiwa sana.

Mtu mmoja anashikiliwa kwa mahojiano

Hali ya eneo mlipuko ulipotokea
DAR ES SALAAM (Reuters) - A suspected bomb blast struck a Catholic church in the northern Tanzanian town of Arusha on Sunday, police said, wounding a number of people.
Sectarian tensions have been simmering in east Africa's second biggest economy after two Christian leaders were killed in the predominantly Muslim islands of Zanzibar earlier this year and there have been attacks on Muslim leaders and mosques.
"Some kind of explosion went off at the church. It is believed to have been a bomb but we don't know what type of bomb it was," Tanzania police spokesperson Advera Senso said.
Senso could not confirm if anyone had been killed in the attack or how many had been wounded.
Tanzania's foreign affairs minister Bernard Membe said in a message on Twitter he was "deeply shocked" by the explosion.
President Jakaya Kikwete has warned about rising religious tensions in several televised addresses.
(Reporting by Fumbuka Ng'wanakilala; Editing by Richard Lough and Mike Collett-White)

********************************************

ARUSHA, Tanzania, May 5 (Xinhua) -- A bomb blast hit a Catholic church on Sunday in Arusha in northern Tanzania, killing one child and injuring more than 30 people, witnesses reported.
The dead was among the church followers who were gathering for Sunday prayers.
The church located in Arusha's Olasiti suburb was bombed just before a mass in the presence of Bishop Josaphat Louis Lebulu of Arusha Diocese, who was accompanied by a representative of Pope of Vatican.
Police in Arusha said one man was arrested in connection with the incident, which caused a lot of panic in the tourist capital of the East African country.
Casualties are yet to be updated. "We are still working on the matter. We'll give more detail after investigating the matter," said Arusha Regional Police Commander Liberatus Sabas.
He said the man was arrested following a tip-off from people at the scene when the explosion occurred.
"We are still interrogating the suspect," he said.
Regional Commissioner Magesa Mulongo described the blast as horrific and unique in Tanzanian history, calling on the public to remain calm.
"So, people should continue with their daily activities, as police and other security organs have normalized the situation," Mulongo said.
A witness said, "I saw more than 30 people, taken by a police vehicle, which took them to the Mount Meru Regional Hospital."
Another witness said the bomb hit the church at around 10:00 a. m. local time when church followers were gathering for the historic Sunday prayer at the new church.
"We were trying to organize ourselves for the mass, when we heard loud sound, the situation that made more people to start rushing out of the church," a witness told Xinhua.
This is the first bomb explosion at the church in the northern safari capital of Arusha. One of those injured in Bombing receiving First Aid

4 comments:

Anonymous said...

Bomb attack at Catholic church in Arusha, Tanzania
My very first thread, unfortunately a sad one. This morning there's been a bomb attack on a church in Arusha, city in the North on Tanzania.

There was an occasion to mark the establishment of a new parish whereby a representative from the Vatican was there to bless the occasion. During the mass, a man who was hiding, came out and threw a petrol bomb in the church which exploded, then boarded a vehicle and escaped.

There was a lot of mayhem, but the congregation refused to leave the church, insisting that the mass should continue, saying that they can kill them inside the church but they weren't going anywhere.

There are lots of injuries (77 last time I checked) and 1 or 3 lives lost (hard to get accurate facts in this part of the world).

We would really appreciate your prayers. This is not the first incident of attacks against the church here; in the past several months, churches here in Dar-es-Salaam and Zanzibar have been torched, and a priest in Zanzibar was shot dead on his way to celebrate mass.

These cowardly acts of religious intolerance have been on the rise for the past several years, which is very un-Tanzanianlike, and God forbid we don't end up where Nigeria are.

So, pray for us please.

Anonymous said...

Taarifa ambazo Jukwaa Huru imezipata na kuthibitishwa na chanzo kimoja cha uhakika toka mjini Arusha, zinaeleza kuwa, watu kadhaa wamenusurika kifo baada ya kitu chenye kusadikiwa kuwa ni bomu la kurushwa kwa mkono kulipuka katika Kanisa Katoliki Parokia Mpya ya Olasiti, ambayo ilikuwa inazinduliwa leo hii.

Kwa mujibu wa chanzo chetu cha habari, kanisa hilo lilikuwa lizinduliwe leo hii na Balozi wa Vatican nchini, ambapo wakati waumini wakiwa wako katika pilika pilika za shamra shamra za tukio hilo, ghafla walisikia mlipuko ambao ulizua taharuki miongoni mwao.

Inaelezwa kuwa, mrushaji wa kitu hicho alikuwa nje ya uzio wa kanisa hilo na kwamba amekamatwa, huku watu kadhaa waliojeruhiwa kwenye tukio hilo wakiwa wameshakimbizwa hospitalini

Tunaendelea kufuatilia kwa kina juu ya tukio hili na habari zaidi zitakujieni muda si mrefu

UPDATES:

Mbunge wa Arusha kwa tiketi ya CHADEMA, Godbless Lema, ametembelea eneo la tukio, huku hali ikielezwa kuwa imeanza kuwa shwari hivi sasa na utulivu ukiwa umeanza kurejea mahali hapo.

Aidha, kupitia mitandao mbalimbali ya Kijamii, Picha za tukio zimeshaanza kupatikana, ambapo chini hapa ni picha za tukio hilo ambazo zimepatikana kupitia Jamii Forums

Anonymous said...

....mlipuko ulitokea katikati ya watu..... ...eneo limetapakaa damu....inasikitisha sana.... niwakati Baba askofu akibariki maji ya baraka wakati anaweka chumvi ndani ya hayo maji (tendo la kubariki maji)..ghafra mlipuko ukatokea karikati ya watu.... ....watu wako katika hali ya majonzi na masikitiko makubwa.....

Anonymous said...

Haya matukio yamekaa kisiasa zaidi kuliko kidini. Hata kama ndio hiyo vita ya Jihadi imeanza kimya kimya inachochewa na wanasiasa kutafuta umaarufu pengine. Kwakuwa wote tutarudi huko tulikotoka, tuamini kesi itazungumzwa huko maana duniani hapa haki haitatokea kamwe. Poleni wapendwa kwa JANGA hili mungu awape faraja.