Sunday, May 19, 2013

Tanzia - Mzee Ally Sykes

The Late Mzee Ally Kleist Sykes
Mzee Ally Sykes amefariki hospitalini Nairobi.   Poleni wanafamilia wa Sykes. Baba yake marehemu Kleist Sykes alikuwa moja wa waanzilishi wa TANU.

May his soul rest in eternal peace. Amen.

*********************************************************************

FAMILIA YA SYKES INASIKITIKA KUTANGAZA KIFO CHA  MZEE WAO ALLY KLEIST SYKES  (PICHANI) KILICHOTOKEA LEO MEI 19, 2013  KATIKA HOSPITALI YA AGA KHAN JIJINI NAIROBI, KENYA,  ALIKOKUWA AMELAZWA.

MSIBA UKO NYUMBANI KWA MAREHEMU MBEZI BEACH JIJINI DAR ES SALAAM. MWILI WA MAREHEMU UNATARAJIWA KUWASILI JIJINI USIKU HUU.

MAZISHI YAMEPANGWA KUFANYIKA KESHO MEI 20, 2013 KATIKA MAKABURI YA KISUTU BAADA YA MWILI WA MAREHEMU KUSWALIWA KATIKA MSIKITI WA KIPATA WAKATI WA SWALAT ALAASIR.

HABARI ZIWAFIKIE NDUGU, JAMAA NA MARAFIKI POPOTE PALE WALIPO.

Inna-na lillahi wa inna ilayhi raji'un. Hakika sisi sote ni waja wa Mwenyezi Mungu, na kwake tutarejea.
Surely we belong to Allah, and to Him shall we return.

2 comments:

Anonymous said...

Kwa kifupi Baba yake alikuwa miongoni mwa waanzilishi wa harakati za kupigania haki za Waafrika. Hapo ndipo waliasisi AA na kisha TAA. Ally na kaka yake Abdullwahid na mdogo wao Abbas na wana-Dar es salaam wengine walimkaribisha Julius ndipo kuka-asisiwa TANU.

Anonymous said...

Rest In Peace Mzee Ally Sykes.