Monday, September 22, 2008

Kazi ya Extra ni nini katika sinema?




Wadau, nimepata maswali mengi kuhusu kazi ya extra katika sinema. Hii kideo kinaonyesha kidogo tunapitia nini tukiwa extra (background) katika sinema. Nimeipenda kwa sababu wanaonyesho set ambazo nimewahi kufanyia kazi kama Gone Baby Gone na This Side of the Truth.

1 comment:

Anonymous said...

KAZI YA EXTRA NI NINI KATIKA SINEMA
MBONA HAMNA PICHA HAPO????