Friday, September 05, 2008

Ugonjwa wa kupenda Ngono


Tunacheka. Lakini kweli hao wagonjwa wa kupenda ngono wapo. Mfano wanaume wanaoamini kuwa hawawezi kulala bila kutia dudu lao mahala. Au hawawezi kulala bila kuwa na mwanamke kitandani. Si wanaume tu wagonjwa hata kuna wanawake wenye ugonjwa huo.
Hao wagonjwa kila mara wanawaza ngono, watapata wapi, wataona wapi. Na hao wagonjwa wakifanya ngono si kwa ajili ya mapenzi ila basi tu mradi wafanye. Wakikosa wanaishia kwenye punyeto. Na mtandao umesaidia kueneza huo ugonjwa.

Haya nimewachokoza. Sasa someni uchunguzi iliotoka leo juu ya wagonjwa wa kupenda ngono (sex addiction).

9 comments:

Anonymous said...

Lakini hata wewe nakutia hatiani maanake hizi topic unazipendelea. Halijaaribika neno lakini

Anonymous said...

Naamini kabisa kuwa na asiyependa ngono basi naye ni mgonjwa au hajawahi kuonja utamu wake

Kibunango said...

Naam ngono ina raha yake... na haina kipimo na haitakuwa na kipimo

Anonymous said...

Da Chemi sasa hiyo picha inatutamanisha sisi wanaume. Kuangalia tu tunawaza ngono. Ngoja nitafute kitu sasa.

Unknown said...

esh dada. mbona ndo wikiendi inanoga dada? na baada ya kusoma hii habari nyepesi nyepesi, hebu sasa kilaji kipande, baadaye mbuzi katoliki halafu...... lol

Anonymous said...

Kazi na dawa.............Da' Chemi wewe huendekezi ngono?

Anonymous said...

Tumeletwa hapa dunia ili tule ngono, kwani ulikuwa hujui hilo dada? Viumbe vyote hula ngono, hata sisismizi.

Mungu alipowafukuza Adam na Eva kutoka kule bustani ya Aden, aliwaambia kuwa nendeni mkazaane muijaze dunia. Unadhani tutazaanaje bila kula ngono? Mungu aliyetuumba ndiye aliyetutuma kula ngono.

Anonymous said...

Ah, kudadadek! Ngono tamu k*******ye ... duh. halafu umpate mngono mwenzio anaijua shughuli? wee acha tu.... Tanga kunaniiii! Da'Chemi, ahsante kwa kutunyegeza mama!

Anonymous said...

Huyo kwenye picha anatamanisha kweli cheki anavyorembua macho.