Saturday, September 27, 2008

Utapeli wa Certified Check

Wadau, naomba niwaelimishe kidogo kuhusu hizo 'Certified checks'. Hao matapeli watakutumia check ambayo inaonekana ni ya kweli kabisa. Kwa sheria za benki za Marekani, kwa vileni 'certified' ni lazima wa-zi cash.

Tatizo inakugeukia wewe, maana utaambiwa uzirudishe au uende jela huko umeshawatumia hao matapeli!

************************************************

Greetings,

My name is Michael Jillard, I am an artist with my wife
Rachel Jillard and we are the owners of Jillard Gallery.
I live in London,United Kingdom, with my two kids
the love of my life my wife Rachel.

I make original Sculptural Paintings and sell Limited
Edition Prints
. I create artwork that combines sculpture
and
painting using sheets of wood,metal and glass to create
depth. I fragment images into illusive shapes and paint
abstract compositions on the manipulated surface. I have
been selling my art for the last 3 years and have had my
work featured on trading cards, prints and in magazines. I
have sold in galleries and to private collectors from all
around the world. I am always facing serious difficulties
when it comes to selling my art works to the U.S and
Canada,they are always offering to pay with cheques and
money orders,which is difficult for me to cash here in
London,United Kingdom. It takes minimum of four weeks to
clear our banks here in the U.K as they are been treated as

an out of country cheques.

I am looking for a representative in the states who will be

working for me as a part time worker and I will be willing
to pay 10%for every transaction, which wouldn't affect your

present state of work, someone who would help me receive
payments from my customers in the United States and canada
I mean someone that is responsible and reliable, cause the
cost of coming to the united states and getting payments is

very expensive, I am working on setting up a branch in the
state, so for now I need a representative in the united
state
and canada who will be handling the payment aspect.

All the payments are in certified cheques and my customers
will issue them (payments) in your name and send to you. So

all you need do is to take the cheques to your bank and
cash
them, then deduct your 10% and wire the balance back to me.

This business will not cost you any amount of money,my
customers will send payments to you through registered mail

or courier company and the courier company will deliver the

package to your doorstep as soon as you receive the package

from the courier company,just take these payments to your
bank and have them cashed.

We are grateful for your attention. Your email was
forwarded by www.monster.co.uk at our request, because you
or somebody else has subscribed for the delivery of the job

offers on the Internet.

If you are interested, please get back to me as soon as
possible.with Full Names...Residential Addres...Phone Number
Present Occupation...,We wish you good luck and happiness.

Friendly Regards,
Michael Jillard.


JILLARD GALLERY
Civic House
19 Grand Depot Road,
London,SE18 6SJ
United Kingdom

michael-jillard1965@hotmail.com

3 comments:

Anonymous said...

CHEMI MIMI NIMEELEWA TOFAUTI KIDOGO NA HEADING YAKO.

NILIVYOELEWA MIMI HUYO JAMAA ANALALAMIKA KUWA CHEQUES KUTOKA USA NA CANADA HUWA INACHUKUWA MUDA MREFU HUKO UK KUWA CASHED. SASA HAPO WEWE UNASEMA UTAPELI MBONA STORI HAIJASEMA UTAPELI? IMESEMA KUWA MALIPO YANA CHELEWA TOFAUTI NA CHEQUES KUTOKA MAENEO MENGINE YA DUNIA AMBAYO JAMAA HUUZA SANAA ZAKE AMBAPO MALIPO HUWA MTEREMKO.

KAMA NIMEKOSEA UNAWEZA KUNIREKEBISHA.

PILI NASHUKURU KWA OMBI LANGU KWAKO KUHUSU YULE JAMAA ANAYEJIITA MZNZ 100% AMBAYE ALIKUWA ANAWEKA COMMENTS ZA JAZBA NA UCHONGANISHI. NAONA UMEWEZA KUMDHIBITI MAANA SIONI COMMENTS ZAKE SIKU HIZI AU LABDA KABADILI JINA. NASHUKURU SANA NA NINGEPENDA UENDELEE HIVYO HIVYO MTU AKILETA MAONI YA AJABU WADAU TUMEMUONYA MARA TATU HATAKI KUBADILIKA UNAMWEKA KATIKA BLACK LIST KAZI IMEKWISHA.

AHSANTE SANA NA KAZI NJEMA

Anonymous said...

unajua chemi kuna utapeli mwingine ni wa kitoto sasa wewe hujiulizi huyu jamaa na kampuni kubwa ila anatumia hotmail? na kama angekuwa na kampuni inaaana angekuwa VAT registered angeonyesha hii kweli inadhihirisha watu wa jinga kuliko wote ni WAMAREKANI

Chemi Che-Mponda said...

Huo ndo utapeli wenyewe. anakudanganya, "oh cheques zinachelewa." Ukimwamini uanaumia wewe, maana wewe utafuatwa na polisi ulipe zote!

Kuhusu MZNB 100% naamini ana pumzika kwa vile ni Mwezi Mtukufu.