Tuesday, September 02, 2008

Bongoland II DVD - Zinapatikana Boston


Wadau mliopo Boston, ninazo DVD za Bongoland II.


Wasiliana na mimi chemiche3@yahoo.com

2 comments:

John Mwaipopo said...

Dada Chemi huku Tanzania mnatuletea lini.

Chemi Che-Mponda said...

Kibira Films wanasema kuwa wanafanya mpango wa kupeleka DVD Bongo. Nitawapa update nikipata.