Monday, November 10, 2008

Rest in Peace - Miriam Makeba 'Mama Africa'


Miriam Makeba akiimba huko Italia jana muda mfupi kabla ya kifo chake. Watu waliokuwepo wanasema aliimba vizuri mno na alivyomaliza walikuwa wanataka aimbe tena, lakini ndo alishaanguka na kukimbizwa hospitalini.



Miriam Makeba 1932-2008

Mwimbaji maarufu wa Afrika Kusini, Mama Miriam Makeba amefariki dunia huko Italia. Habari zinasema kuwa alikuwa anafanya oncert huko na alianguka mara baada ya kumaliza kuimba. Wanasema kuwa alipata ugonjwa wa moyo (Heart attack). Mama Makeba alikuwa na miaka 76.

Alikuwa ni mcheza sinema pia, aliigiza kama mama yake, Sarafina, kaitika sinema Sarafina, na sinema zingine.

Nyimbo zake kama Malaika, Pata Pata, The Click song na Jikele Maweni zilikuwa maarufu sana miaka ya 60 na 70 na pia aliwahi kushinda tuzo la Grammy Marekani.

Mungu ailaze roho yake mahala pema mbinguni. AMEN.

REST IN PEACE MAMA AFRICA.
************************************************************************

South African Singer Miriam Makeba Dies

November 10, 2008 ,

Diane Coetzer, Johannesburg

South Africans are mourning the loss of Grammy-winning singer Miriam Makeba, who died in Italy last night (Nov. 9).

The singer has been described as "one of the greatest songstresses of our time," by the country's Foreign Affairs Minister Nkosazana Dlamini-Zuma, and tributes to Makeba are pouring in from her creative collaborators.

Makeba died at the Veneto Verde hospital near Naples after performing at the Castel Volturno.

Although no official word has been received of the cause of death, the 76-year-old reportedly suffered a heart attack after taking part in a concert for Roberto Saviano, a writer threatened with death by the Mafia over his expose "Gomorrah." Her last performance was a half-hour set alongside other singers and artists.

Makeba's publicist, Cape Town-based Marc le Chat, has confirmed that the singer had been struggling with arthritis over the past years but had still been accepting key live dates.

Many here are seeing it as important that "Mama Africa" -- as Makeba was dubbed -- died after performing for a cause that puts human rights in the spotlight.

Makeba had first come to fame as a singer with the Manhattan Brothers in the 1950s. She later formed her own group, the Skylarks, and joined the cast of the now iconic musical "King Kong." In 1959 she starred in the anti-apartheid documentary "Come Back, Africa," which led to a meeting with Harry Belafonte, who helped Makeba gain entry to the United States, where she lived in exile.

Among her many notable achievements was becoming the first African woman to win a Grammy, gor Best Folk Recording in 1966 with Belafonte for "An Evening With Belafonte/Makeba." Makeba also scored hits with "Pata Pata" and "The Click Song."

http://ap.google.com/article/ALeqM5jK_Aed0fG4UHhDXEI2SuOdZLDKHAD94C29N80

5 comments:

Nalitolela, P. S. said...

astarehe katika amani Mama Afrika!

Anonymous said...

Haonekani kama alikuwa na miak 76. Kweli waafrika tunzeeka vizuri.

Anonymous said...

Mbona anaonekana mzima? Kweli alikuwa aunaumwa hapo? Msishangae kusikia mafia walimaliza!

Anonymous said...

kwa kweli ninasikitika kusikia habari za kifo chake lakini ndio hali halisi hatuwezi kuishi milele
HIVI KWA KUANGALIA HISTORIA YAKE KIUSANII SIJUI WASANII WA TANZANIA WAMEJIFUNZA AU WAMEGUNDUA SIRI GANI AMBAYO INAWEZA KWA KIASI FULANI KUWASAIDIA KTK SAFARI YAO YA KUELEKEA MAFANIKIO YA KIUSANII?
just curious!
Raceznobar

Anonymous said...

You're still my hero Miriam Makeba...RIP.