Thursday, January 01, 2009

Heri ya Mwaka Mpya - 2009




Nawatakia wadau wote heri ya mwaka mpya! Ninaomba 2009 iwe mwaka mzuri kwa wote. Pia ninaomba mungu apumzishe kwa amani roho za wasioweza kuona mwaka 2009. AMEN.
Hapa Boston tumeanza mwaka mpya na baridi kali na theluji mwingi. Baridi kama Alaska. Upepo umekuwa -15 degrees!

6 comments:

Subi Nukta said...

2009 uwe wa KiSwahili murua. Naona KiSwahili kinaendelea kukulamba chenga tartiiibu....
Namna gani pale Da Chemi?
KiSwahili maiolodoi?

Chemi Che-Mponda said...

Subi, niliposti baada ya kunywa Champagne ya New Year! LOL! Nimekwisha kunywa supu ya makongoro najisikia freshi sasa.

Anonymous said...

Utasingizia champagne....lakini mara kadhaa umekuwa unaandika kiswahili kibovu...tumeshakuzoea....ingawa mazoea yana taabu!

Anonymous said...

Subi wa Arusha nini???Naona ni
mayelo doi sio maiolodoi.Dada Chemi pole na baridi.Dawa ni blanketi chapa mtu.Believe me I know.Just joking.Happy New Year.

Chemi Che-Mponda said...

Wadau, msichanganye champagne na konyagi utapata bonge la headache na magafula tumboni! Khaa! Nimekoma. It's either one or the other!

Meanwhile, its back to work!

Subi Nukta said...

Anon wa January 02, 2009 4:13 AM,
Asante kwa sahihisho. Nilidandia neno kwa kusikia na si kusoma. Rafiki aliishi Arusha akajifunza maneno kadhaa kwa kusikia, mojawapo likiwa ni mayelo doi lakini hakufahamu inavyoandikwa, kila nikikosea huwa anauliza, 'Subi umekuwa maiolodoi sasa?'... kumbe ni 'mayelo doi'.
Asante!