Monday, January 05, 2009

Mwimbaji wa Injili, Fanuel Sedekia, Afariki DuniaMWIMBAJI WA INJILI FANUEL SEDEKIA KATUTOKA. HABARI ZA KUSIKITISHA ZIMEINGIA SASA HIVI KWAMBA MWIMBAJI MAHIRI WA NYIMBO ZA INJILI, FANUEL SEDEKIA, AMEFARIKI DUNIA JANA KATIKA HOSPITALI YA PORIYA TIBERIA, HUKO ISRAEL.

HABARI ZINASEMA MAREHEMU ALIKUWA AMELAZWA KWA WIKI TATU HOSPITALI HAPO AKISUMBULIWA NA KISUKARI PAMOJA NA NIMONIA. ALIKUWA HUKO KATIKA MSAFARA WA MAHUBIRI NA MCHUNGAJI MWAKASEGE.

MIPANGO YA KUULETA MWILI WAKE NYUMBANI KWA MAZISHI UNAFANYWA NA TUTAENDELEA KUWAFAHAMISHA HABARI ZINAPOTUJIA. KWA SASA KINACHOFAHAMIKA NI KWAMBA MSIBA UTAKUWA NYUMBANI KWAKE ARUSHA NA ATAKAPOZIKIWA BADO HAIJAJULIKANA KWANI YEYE KWAO NI KIGOMA.
MOLA AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI - AMINA
*******************************************************
REST IN PEACE KAKA FANUEL!

19 comments:

SIMON KITURURU said...

R.I.P Fanuel!

Bwaya said...

Sedekia nitamkumbuka kwa uimbaji wake mahiri. Habari hizi nimezipokea kwa masikitiko makubwa.
Bwana ametoa na Bwana ametwaa, Jina lake libarikiwe.

Anonymous said...

Sedekia!!!!!!!! We will really miss your songs.May the lord rest his soul in peace. Pole kwa jamii ya sedekia.
Maureen from kenya

Matondo said...

Upumzike salama jemedari hodari wa Yesu. Umepigana pigano jema na Bwana amekutwaa kwenda kupumzika. Kama unataka kusikiliza baadhi ya nyimbo za Marehemu Sedekia tembelea hapa:
http://nyimbozadini.blogspot.com/2009/01/kuhusu-marehemu-fanueli-sedekia.htmllings

Anonymous said...

Surely the soldier of the mighty God, Sedekia Fanuel, you lifted my skills of worship through your inspirative worship songs that I saw the hand of the LORD working. Now God has reaped you back to His eternal home, may God rest you in His eternal glory and worship with Him for the good job done. We will miss you a powerful and a blessing man of the living GOD.
I would also wish to send my deep condolence to the tender family left behind and also encourage them to remain in the Lord GOD for He cares for you. God is faithful to sustain you to the very last end. Maintain your burners and lift the glory to the God of all life.
Baba yangu muumba mbingu na nchi, hakika Bwana pokea sifa na nguvu kwa sababu uweza ni wako, na utusaidie nasi katika mkondo huu wa utumishi kwako ili tubaki waaminifu hadi mwisho tukuone siku hiyo utakapo tukaribisha katika makao yako ya milele. AMEN.
ALUKU MAURICE OMOGO
TESO DISTRICT-KENYA

Anonymous said...

KWA HESHIMA KUU KWA MUNGU MUUMBA MBINGU NA NCHI,MTUMISHI WA MUNGU FANUEL SEDEKIA, WEWE ULIKUWA WA BARAKA KWA WENGI KATIKA UIMBAJI. HAKIKA MUNGU AMEKUVUNA JAMBO AMBALO NIMEPOKEA HABARI HIZI KWA MSHANGAO MKUU. KILA SIKU SINGEWEZA KULALA KABLA SIJATAZAMA KANDA YAKO YA HABARI MAALUM-JINA LA YESU.WEWE ULIKUWA JEMEDARI KATIKA ULIMWENGU WA UIMBAJI NA TUTAKUKOSA DAIMA JAPO UTAKUWA NA BABA YA MBINGUNI MILELE. HIMIZO LANGU KWA FAMILIA ILIYOFIWA NI KUWA TAFADHALI DUMUNI KATIKA BWANA NAYE ATAWADUMISHA NA KUWASHUGHULIKIA.BWANA AKUPUMZISHE SALAMA KATIKA REHEMA ZAKE ZA MILELE.
ALUKU MAURICE OMOGO
TESO DISTRICT-KENYA

Anonymous said...

I did not know sedekia, but i saw one of his DVD, He was truely a worhsip. May God rest his soul in peace
Boston, USA

Anonymous said...

Kwa kweli nimesikitika sana baada ya kuona kwenye glob nilikuwa nazipenda nyimbo za Sedekia sana,nilikuwa nalzisikiliza redioni.Nilipata bahati ya kumuona mwaka 2004 Diamond Jubilee,kwa kweli nilifurahi sana.Kwa kweli uimbaje wake umekuwa ukinifariji sana.
Pumzika kaka Fanuel uenda upo sehemu nzuri sana sasa hivi ni basi tu sisi tuliobaki tunakukosa.
S.I,Wichita,kansas.

Doreen said...

This is really unbelievable. your songs ministered to me in a big way . May God rest your soul in eternal peace .may the peace of the lord that is beyond all human understanding guard his family in Jesus name .Doreen( Norway)

cosseyUSA said...

poleni sana wapendwa wote mlioadhiriwa pamoja nami,we will miss u brother,i knew sedekia thro VCD's brought by my parents during their visit to USA...his songs of praise and worship really ministered to all members of our family!i will miss u dear bro..rst in peace.

Anonymous said...

KWANZA KABISA, NATOA RAMBIRAMBI ZANGU KWA FAMILIA, JAMAA NA MARAFIKI WA FANUEL.NILIPOKEA HABARI HIZI KWA HUZUNI NA MASIKITIKO MAKUBWA.NYIMBO ZA FANUEL ZILINIBARIKI NA ZITAENDELEA KUNIBARIKI SANA.HASA WIMBO WAKE JINA LA YESU NI NGOME IMARA.NAWAHIMIZA FAMILIA YAKE NA WOTE WALIOHUSIKA NAYE KATIKA UIMBAJI WASHIKILIE JINA LA YESU LILILO NA UWEZO WA KUFARIJI NA KUTIA NGUVU.PIA WASIFE MOYO KATIKA UIMBAJI, WAMTEGEMEE JEHOVAH NA WAENDELEE KUPITISHA HABARI NJEMA YA KRISTO YESU HADI KURUDI KWAKE.NAJUA WAKO NA MASWALI KUHUSU MBONA HILI NA LILE LILITENDEKA LAKINI KWA YOTE KRISTO AWE KARIBU NANYI ZAIDI.TUNAPOPITIA MAMBO TUSIYOELEWA KATIKA MAISHA, HATATUACHA KAMWE..SHIKILIENI IMANI.
NYIMBO ZA FANUEL ZITAENDELEA KUPITISHA UJUMBE WA YESU KRISTO HATA INGAWA AMETUONDOKA.

JOAN LANG'AT
KERICHO-KENYA

Lang'at said...

POLE SANA KWA FAMILIA YA FANUEL SEDEKIA.NILIPOKEA HABARI HIZI KWA HUZUNI KUBWA, HAKIKA TUTAMKOSA FANUEL.MUNGU AWAFARIJI NA AWATIE NGUVU WAKATI HUU WA MAJONZI.FANUEL ALIKUWA WA BARAKA KWANGU NA NYIMBO ZAKE ZITAENDELEA KUWA ZA BARAKA KWA WENGI.MSIFE MOYO TEGEMEENI MUNGU HASA NYINYI FAMILIA NA MLIOSHIRIKI NAYE KATIKA UIMBAJI.
MUNGU NI MWAMINIFU KWA YOTE HATA TUNAPOPITIA MAGUMU.JINA LA YESU NI NGOME IMARA NI WIMBO UNAYONIBARIKI SANA..TEGEMEENI MUNGU ILI AWAONGOZE NA KUWAPIGANIA, NI MWAMINIFU!

JOAN LANG'AT,
KERICHO-KENYA.

Jeremmy said...

Oh man of God, I am terribly shocked because I didnt believe it from friends that the man who insired me spiritually had departed us, Fanuels S. was my inspiration when it comes to knowing God, his songs participated in bringing my faith closer to God..God you gave him to us and you took him,nothing we we can do but let his soul rest in eternal peace as he rejoice in the kingdom with the lucky blessed angels, bless his family at large and give them hope that dad Zedekia is not gone he is still with them spiritually 4ever. God be with you all. Amen.
JEREMMY from NAIROBI - KENYA

Cherono, USA said...

God indeed gave and he has taken. To the family, his singing group, his church and the nation of Tanzania, pole you are in my prayers. His legacy lives on. I'm grateful for these songs...it reminds me of who God is...here in my room miles away from home. RIP
Cherono. USA

sarah said...

Brother you were a blessing to many. we will surely miss you.

Fanueli was a blessing to me through the songs that i listen to through you-tube. He was a brother in christ i never met. When I listen to the worship songs, I cry tears and knowing that our brother is gone is even worse. But for God giveth and taketh.
The family of the late fanuel,especially the widow and child, I pray that God may surround you with his mercy so that you may stand strong trusting him and him alone. I besearch the choir members to please pray and visit with brother Fanuel's wife now and again to lift her up and in so doing, God will Bless you ALL.

Nelson said...

I am shocked beyond everything! I just learnt recently that Fanuel passed on. I am sorry to post my condolescences too late. I love u Fanuel. Peace be with the family. Amen.

Anonymous said...

WE THANK GOD FOR IT PLEASED HIM THAT YOU DEPART HIM ATB SUCH A TIME AS THIS. THROUGH YOUR WORSHIP SONGS IT WAS AN INDICATION THAT INDEED GOD WORKED IN AND THROUGH YOU. YOU FOUGHT A GOOD FIGHT YOU RAN THE RACE AND KEPT THE FAITH. AS IT PLEASES GOD MAY HE DO WITH YOU.

ONYIMBO- KENYA

Nammy Sammy said...

missing you already so much...R.I.P

mwesigye levy kajs said...

i've of recent watched.sedekia's vides,so inspiring...oh my God! and romours passing by that the mighty man of God singing before me,is nolonger in existence,forced me to visit his website.may God's mercy be on him as he rests in eternity.may the sweet holy spirit put a full armour of protection upon his family Amen.with love from bro.levy kajs,kampala uganda