Thursday, January 15, 2009

Ndege Imeanguka New York!


Ndege ya US Airways, imeanguka huko New York. Ni US Airways Flight 1549. Kwa bahati imeaguka mtoni Hudson River. Ilikuwa hewani, dakika tatu kabla ya ndege aina ya bata kuingia kwenye injini zote mbili.
Abiria wote 148 wako salama! Ndege ilikuwa inatoka LaGuardia Airport kwenda Charlotte, North Carolina.

Abiria wanasema walibakia kuomba baada ya rubani kutangaza "Brace for Impact"!
Kwa habari zaidi someni:

1 comment:

Anonymous said...

its a miracle, ndo mambo ya MUNGU hayo kweli kuna power ktk maombi.
Ms Bennett