Monday, January 19, 2009

Martin Luther King Jr. Day



Martin Luther King Jr.

(1929-1968)

Leo tumeshekerekea sikukuu ya kuzaliwa kwa mgombea haki za weusi Marekani (Civil Rights) Dr. Martin Luther King Jr. kwa njia za amani. Aliuawawa mwaka 1968 na mbaguzi James Earl Ray. Asante jitihada za Dr. King weusi Marekani na watu wote wasio wazungu wana hali bora zaidi ya maisha. Kabla ya hapo maisha Marekani yalikuwa kama Afrika Kusini enzi za Apartheid! Asante Dr. King!
Kesho ndoto yake itakamilika. Baraka Obama ambaye ni mweusi ataapishwa kuwa Rais wa Marekani. Atakuwa rais wa kwanza mweusi wa Marekani. Marekani ina miaka 233 na Obama atakuwa rais wa 44.

Kwa habari zaidi someni:

1 comment:

Anonymous said...

Rest in Peace MLK! We are grateful for what you did for all people of color in America. God Bless.