Friday, January 09, 2009

Kipanya Asema...

Translation:

Man: Stop listening to those street rumours. I don't have AIDS, I only have HIV...

Woman: Oh what a relief! Some people wanted to cheat me out of my luck! They said oh Fataki is sick! Loh! Some people are really bad!!

*******************************************************************
Jamani, kwa kweli kuna haja ya watu kuelimishwa kuhusu huo ugonjwa hatari! Hivi kuna watu ambao wanadhani kuwa unaweza kuambukizwa UKIMWI lakini siyo V.V.U? Tumieni kondomu na mjikinge. Na hebu cheki huyo dada, amesikia maneno lakini bado tu anakubali kwenda kitandani na jamaa! Halafu anasema watu wanatakia mabaya! Khaa!

4 comments:

Anonymous said...

Upeo mdogo kwa wabongo walio wengi....katika karibu kila nyanja....inachangiwa na elimu duni, uelewa mdogo na umaskini.

Anonymous said...

Inaelekea na jamaa mwenyewe anajiona mzima!

Anonymous said...

matatizo ya kiuchumi haya. mpaka pale mwanamke wa kiafrika atakapoweza kuishi bila ya kumtegemea mwanamme wa kiafrika, tatizo hili litaendelea.

Anonymous said...

Hata Rais wa zamani wa RSA Mbeki alikuwa pia anahisia hizo sio watu duni tu kazi ipo africa