Wednesday, January 07, 2009

Urais Unazeesha


Kuwa rais wa Marekani ni kazi ngumu. Wataalamu wanasema kuwa ukiwa rais unazeeka haraka, mara mbili kuliko mtu wa kawaida. Kazi ipo.

Kusoma habari zaidi na kuona picha za jinsi marais wa Marekani walivyozeeka wakiwa madarakani, BOFYA HAPA:


******************************

1 comment:

Simon Kitururu said...

Kazi wafanyazo marais wetu Afrika huwafanya wanawili!Inabidi Obama atafute ushauri kutoka kwa marais wa Afrika:-)