Friday, January 16, 2009

Kifaru huyo Vipi?

Hmmm? Wadau, huyo kifaru amevishwa thong au ni ugonjwa wa ngozi?

1 comment:

Anonymous said...

Da Chemi,
Kuna mtundu mmoja amecheza na photoshop tu hapo!
Kwi kwi kwi ...
Watu wakorofi sana jamani.