Thursday, July 02, 2009

Kanisa Mbili Zachomwa Moto Zanzibar

Wadau, siku zote Tanzania tumekuwa nchi enye amani na utulivu. Ni nchi enye upendo na uvumilivu. Undugu! Wakristo na Waislam wamekulia katika nyumba moja, ujirani, wanasoma pamoja na kusherekea mambo mengi pamoja. Inasikitisha kusikia kuwa kanisa mbili zimechomwa moto huko Zanzibar na watu wanaosema kuwa hawataki ukristo uenee kisiwani. Serikali inafanya nini? Naomba isikae kimya katika suala hiyo.

Nina amini kuwa waliochoma kanisa hizo si waTanzania.

Tunataka Amani tuliozeoa iendelee!

**************************************************************************

http://www.bosnewslife.com/8107-zanzibar-christians-fear-more-attacks-after-church-burnings-evictions

ZANZIBAR CITY, TANZANIA (BosNewsLife)-- Christians on Tanzania's Zanzibar Island anticipated more attacks against them Wednesday, July 1, as two churches were reportedly burned over the weekend by suspected militants opposing the spread of Christianity on the Muslim dominated semi-autonomous territory.

The Evangelical Assemblies of God in Tanzania (EAGT) church and a nearby Pentecostal Evangelical Fellowship in Africa church building were torched Sunday, June 28, with militants warning Christians to halt worship services, church officials said in published remarks.

*************************

http://www.compassdirect.org/en/display.php?page=news&idelement=5985&lang=en&length=short&backpage=archives&critere=zanzibar&countryname=&rowcur=0

NAIROBI, Kenya, June 30 (Compass Direct News) – Two church buildings were razed Sunday night (June 28) on the island of Zanzibar after worship services. Suspected radical Muslims set the church buildings on fire on the outskirts of Unguja Township, on the Tanzanian island off the coast of East Africa, in what church leaders called the latest incidents of a rising tide of religious intolerance. With Christian movements making inroads in the Muslim-dominated area, the Evangelical Assemblies of God in Tanzania (EAGT) church and a Pentecostal Evangelical Fellowship in Africa church building a few miles away were burned down as a fierce warning, church leaders said. “We don’t want churches on our street,” read a flier dropped at the door of Charles Odilo, who had donated the plot on which the EAGT building stood. “Today we are going to burn the church, and if you continue we are going to burn your house also.”

6 comments:

Anonymous said...

Hao wanaofundisha chuki si watanzania. Si uliona jinsi walivyomtwanga yule jamaa aliyempiga Mzee Ruksa. Hao ni wahuni. Huenda walilipwa.

Anonymous said...

hivi ni nini cha ajabu hapa? tusijifanye hatufahamu kwamba zanzibar uislamu kwanza mambo mengine hufuatia.siamni mimi binafsi kwamba ni watu wa nje .hao ni watanzania waliofanay hivyo.Kwani mtanzania wa huko hawezi kufanya hivyo?

Anonymous said...

Kwa kweli tutamkumbuka Mwalimu. Angewadhibiti mara moja!

Nautiakasi said...

Da Chemi naona imekuuma sana..! Kwani lazima muwajengee makanisa kwenye nchi yao takatifu? Nchi yao 99.9999 ni waislam, unaenda ukaeka kanisa unatafuta nini? Wenyewe washasema hawataki ukristo kwani lazimaaaaaaaaa?? Si mrudi kwenu Tanganyika mkajenge makanisa??? Msi tustafish...!

Chemi Che-Mponda said...

Nautiakasi,

Hata msikiti ungechomwa ungeniuma. Au mimi ni MTanzania wa zamani? Hivi siku hizi UTanzania ukoje? Tukianza udini, kitachofuata ni ukabila!

Anonymous said...

Kujenga kanisa unguja ni kutafuta ugomvi kwa makusudi. Mimi si mwislamu na wala si mkristu lakini hili sasa naona wakristu wamepiga "chini ya belt" na hii waliyoipata ya kuchomwa moto ni saiz yao.

Wewe Chemi unayetetea ugomvi wa wakristu; jee unaweza kwenda vatican na kufungua "gay bar"? jibu huwezi ingawa miongoni mwa wavatican wapo mashoga kibao. Waachieni wazanzibar na nchi yao, na kama mna shida ya ardhi ya kujenga kanisa basi njooni huku kisarawe kuna ardhi kibao mjenge hata makanisa mia mbili, poa tuu.