Monday, July 20, 2009

Vituko Vya Shaniqua

Yaani kwenye maofisi Marekani kuna mtindo wa kuvaa nguo 'Casual' siku za Ijumaa. Ina maana kama huna haja ya kuvaa suti na nguo zingine za kibiashara basi unaweza kuvaa nguo ingine mradi siyo jeans (kigozi) na unaonekana kama unakwenda kazini. Wengine wanapuuzia sheria walizoweka kwa ajili ya nguo za Ijumaa na kuja wanavyotaka. Matokeo yake, ofisi zingine wanafuta Casual Friday ili kuepuka vituko. Shaniqua alifanya Casual Friday ifutwe ofisini kwao!

3 comments:

Anonymous said...

Mbutah!
Yeeele!
Woi!

Anonymous said...

huyu ni mgonjwa wa akili. anahitaji msaada apelekwe mahali pa kupatiwa matibabu!!!!!!! kweli anafikiri kuna mtu atatamani kuangalia minofu ya sangara kama hii!!!!

Unknown said...

Dada Chemi,
Hii ni chiboko kwa kweli, yaani hiyo ofisi ya nani binti huyu alikuwa akifanyia? kweli majuu hamnazo.