Tuesday, July 21, 2009

Ubunifu wa Watoto Mtwara


Asante Mdau Elipokea Sarakikya kwa kuleta habari hii.
Shikamoo dada Chemi!
Nimekutumia hiyo nilipiga Mtwara tulipokuwa field ya CDC,wanafunzi wamwaka wa tatu wa udaktari toka Muhimbili.Watoto hawa hawana pesa ya kulipa ili kucheza pool table ya kisasa,hivyo wakaamua kutengeneza yao ya kienyeji kama inavyoonekana kwenyepicha.Natumaini utaiposti wadau waione.

2 comments:

Anonymous said...

What does that have to do with cdc and Muhimbili

Francis Godwin said...

Kuna haja ya serikali yetu kuendelea kuibua vipaji hivi vya watoto kwa kutenga maeneo zaidi ya michezo mbali mbali hongera sana kwa picha