Tuesday, July 07, 2009

Mazishi ya Michael Jackson

Hivi sasa maelfu ya wadau wa Michael Jackson wamekusanyika huko Staples Center, Los Angeles kwenye misa ya kumwombea.

Mnaweza kusomea na kufuatilia habari za misa na mazishi CNN.com:
http://www.cnn.com/2009/SHOWBIZ/Music/07/07/michael.jackson.wrap/index.html

No comments: